Skip to content

Hosted by Dailymotion. For legal issues: Copyright Center · DMC · Instant Removal

Ombi La Fedha Za Matibabu

E
EbruTVKENYA

7 Views • Feb 08, 2023

Description

Mama Mmoja Anaomba Usaidizi Wa Tiba Kwa Mwanawe Wa Miaka Mitatu, Baada Ya Mwanawe Kupatikana Na Uvimbe Kwenyw Mapafu Yake. Faith Matheka Kutoka Changamwe Kaunti Ya Mombasa Amesema Binti Yake Elizabeth Triza, Ameugua Tangu Mtoto Mchanga Wa Mwezi Mmoja. Triza Anahitaji Kufanyiwa Upasuaji Katika Hospitali Ya Kijabe Kwa Gharama Ya Shilingi Milioni 1.5.