ReePrime
Kongamano La A.U Ethiopia

Hosted by Dailymotion. For legal issues report at the Copyright Center, report us on DMC, or use the Instant Removal tool.

Kongamano La A.U Ethiopia

E
EbruTVKENYA

9 Views • Feb 17, 2023

Description

Rais William Ruto Amewasili Jijini Addis Ababa Nchini Ethiopia Kwa Kongamano La 36 La Muungano Wa Afrika. Kati Ya Ajenda Kuu Katika Kongamano Hilo Itakuwa Mzozo Unaoendelea Katika Jamhuri Ya Kidemokrasia Ya Congo. Aidha Mkutano Huo Huandaliwa Mara Mbili Kila Mwaka Na Huwahusisha Marais Wote Wa Afrika Kando Na Wawakilishi Kutoka Shirika Za Kimataifa Kama Umoja Wa Kimataifa.