Skip to content

video not played or not found error
click on direct switch

Hosted by Dailymotion. For legal issues: Copyright Center · DMC · Instant Removal

KDF yaimarisha uthibiti wa Afmadhow

K
KTN Home

57 Views • Jun 19, 2012

Description

http://www.ktnkenya.tv
Taarifa kutoka Somalia zinasema kwamba majeshi ya Kenya yameimarisha uthibiti wa mji wa afmadhow, ulioko kilomita mia moja na sitini kutoka mji wa kismayu, unaosemekana kuwahifadhi ya wapiganaji wa kikundi cha al- shabaab. Frank otieno anafungua ukurasa wa msururu wa taarifa zinazoelezea ufanisi ulioafikiwa na vikosi vya kenya- kdf na tfg ya somalia, na jinsi wenyeji wa afmadhow wamepata afueni tangu kufurushwa kwa wana- alshabaab mjini humo.